Tazama Mkurugenzi wa CBE Dodoma Dkt. Kembo Bwana alivyoshiriki katika Fainali ya TAHLISO Cup
Автор: CBE DODOMA CAMPUS
Загружено: 2024-02-06
Просмотров: 107
Kupata taarifa zaidi Subscribe Channel yetu @cbedodomacampus , tembelea website yetu "www.cbe.ac.tz" pia mitandao yetu ya kijamii "cbe.dodoma"
Katika kuhakikisha swala la michezo linaendelea kuboreshwa na kupewa kipaumbele, Mkurugenzi wa Chuo Cha Elimu ya Biashara CBE Kampasi ya Dodoma Dkt. Kembo Bwana alifika katika Fainali ya TAHLISO Cup iliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kwa ajili ya kuwapa hamasa wanafunzi wa CBE kampasi Dodoma kwa kufika fainali mashindano hayo.Katika fainali hizo Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dodoma kilicheza fainali na Chuo Kikuu cha Dodoma.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: