MATENDO YAKO MEMA Kwaya ya Mt Paulo Mtume KIHESA IRINGA(Oficial Gospel Video HD)
Автор: TanganyikaProduction
Загружено: 2017-09-15
Просмотров: 12219
Huu ni moja ya wimbo uliopo katika Album yao ya kwanza iitwayo NI MPANGO WA MUNGU Kwaya hii ipo Jimboni Kihesa, ni kwaya ya Mt. Paulo Mtume.
AUDIO imetengenezwa katika studio bora kabisa za Embakassy zilizipo Iringa Mjini, kinanda kimepigwa na Mtaalamu Ndg. Simon Mvano.
Video imentengenezwa na TANGANYIKA PRODUCTIONS ikiwa imeongozwa na Dir. Laurent Ludovick akiwa na Fortune Shimanyi na Kelvin Marandu, na Drone imeendeshwa na Ndg. Yoel Mrisho....endelea kuwa nasi
Kwa mahitaji ya kazi nzuri za kisasa karibu sana TANGANYIKA PRODUCTIONS tupigie +255 762 380376
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: