KWA NINI SIO RAHISI KUAMKA KUOMBA NA KUSOMA
Автор: REV ANNAEL G. PALLANGYO
Загружено: 2025-09-19
Просмотров: 77
Bwana Yesu asifiwe watu wa Mungu wa thamani. Asubuhi ya leo tena, katika Ibada ya Mbaraka wa Asubuhi, tumetamatisha somo letu la "KWA NINI SIO RAHISI KUAMKA KUOMBA NA KUSOMA NENO" kwa kuangalia kipengele cha "JINSI YA KUUSHINDA UGUMU WA KUAMKA KUOMBA NA KUSOMA NENO".
JINSI YA KUSHINDA UGUMU HUU
1. Kuomba Msaada wa Roho Mtakatifu kila siku.
2. Kuwa na ratiba ya muda wa kuomba na kusoma neno kila siku.
3.
Karibu kushiriki mafundisho haya!
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: