Скачать
JIJI LA DSM KWA KUSHIRIKIANA NA UN WOMEN LAFANYA MAFUNZO MAALUM KWA WADAU WA MAENDELEO YA JAMII
Автор: DAR CITY TV
Загружено: 2025-04-14
Просмотров: 100
Описание:
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kupitia Idara ya Maendeleo ya Jamii kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Wanawake UN Women @unwomen leo tarehe 10 Aprili 2025, wameendesha mafunzo maalum kwa wataalamu wa maendeleo ya jamii pamoja na wadau mbalimbali wa maendeleo katika ukumbi mdogo wa Idara ya Maendeleo ya Jamii.
Lengo la mafunzo hayo ni kujadili kwa kina fursa zilizopo za kiuchumi kwa wanawake, changamoto zinazowakabili katika kuzifikia, pamoja na kuweka mikakati madhubuti ya kuzitatua.
#daressalaam #ilala #habari #unitednations #wanawake

Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: