Ramadhan Zanzibar - Historia ya Sheikh Habib Ali Kombo Al-mafazy
Автор: Hajiizo
Загружено: 2025-03-03
Просмотров: 6269
Ramadhan Zanzibar ni kipindi kinachorushwa na ZBC radio katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Ni moja kipindi pendwa kwa wakaazi wa Zanzibar ndani ya mwezi huu wa Ramadhan.
Kupitia kipindi hiki tunajifunza mengi hasa historia za maulamaa mbali mbali waliowahi kufika na kuishi Zanzibar.
Leo nakuleteeni kwa Ufupi historia ya Marehemu Sheikh Habib Ali Kombo Al-mafazy.
Chanzo: ZBC Radio
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: