KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA JUMAPILI - IBADA YA KWANZA - 28 DISEMBA 2025
Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
Загружено: 2025-12-28
Просмотров: 5999
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YAJUMAPILI - IBADA YA KWANZA - 28 DISEMBA 2025
UJUMBE WA LEO: MUNGU ANATIMIZA AHADI ZAKE
Isaya 40 : 27 - 31
27 Mbona unasema, Ee Yakobo, mbona unanena, Ee Israeli, Njia yangu imefichwa, Bwana asiione, na hukumu yangu imempita Mungu wangu asiiangalie?
28 Je! Wewe hukujua? Hukusikia? Yeye Mungu wa milele, Bwana, Muumba miisho ya dunia, hazimii, wala hachoki; akili zake hazichunguziki.
29 Huwapa nguvu wazimiao, humwongezea nguvu yeye asiyekuwa na uwezo.
30 Hata vijana watazimia na kuchoka, na wanaume vijana wataanguka;
31 bali wao wamngojeao Bwana watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.
Mhubiri: Mtheologia. William S. Mchome
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: