KWA NINI LISSU ? Wakili wa Lissu Afichua Mapigo 5 Hatari ya 2025
Автор: HARAKATI TV
Загружено: 2025-12-31
Просмотров: 3555
Karibu HARAKATI TV kwa uchambuzi wa kina wa Siasa za Tanzania. Katika video hii tunaangazia Breaking News kuhusu Katika video hii ya uchunguzi mzito, Wakili wa Tundu Antipas Lissu anafunguwa pazia na kuweka wazi mapigo 5 makubwa yaliyoikumba CHADEMA mwaka 2025.
Ni kauli nzito, zenye uchungu, maswali ya haki, na taswira halisi ya changamoto za kisiasa na kisheria Tanzania. Wakili huyo anaeleza kwa undani mazingira yaliyowatesa, shinikizo walilopitia, pamoja na athari zake kwa haki na demokrasia.
🔴 Video hii inagusa:
Haki za binadamu Tanzania
Mfumo wa sheria na mahakama
Siasa za upinzani 2025
Kesi ya Tundu Lissu
Changamoto za mawakili wa utetezi
👉 Usisahau ku-SUBSCRIBE, bonyeza LIKE, na COMMENT maoni yako:
🔔 BONYEZA SUBSCRIBE ili usipitwe na habari na uchambuzi wa siasa za Tanzania!
👍 LIKE na SHARE video hii na marafiki zako.
📺 harakatitv
• Uchambuzi wa Siasa:
• Breaking News:
• Ripoti za Maoni:
#siasatanzania #uchambuzi #harakatitv #ccm #chadema #tundulissu #uchaguzi2025 #breakingnews
News Theme 1 by Audionautix is licensed under a Creative Commons Attribution 4.0 license. https://creativecommons.org/licenses/...
Artist: http://audionautix.com/
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: