WAKAZI WA KAHAMA WAMPONGEZA RAIS SAMIA.
Автор: KALUNGWA TV
Загружено: 2022-02-23
Просмотров: 148
WAKAZI WA KAHAMA WAMPONGEZA MAMA SAMIA.
Manispaa ya Kahama yamshukuru na kumpongeza Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. Samia suluhu Hassan kwa kutoa fedha kwaajili ya mradi wa kusambaza maji safi na salama wenye urefu wa kilometa 26 ambapo mpaka sasa asilimia 56 ya mradi huo imeshakamilika.
Aidha Mh. Raisi ametoa kiasi cha shiringi milioni150 kwaajili ya kufanya utafiti wa kusambaza maji halmashauri ya ushetu na msalala ambapo zaidi ya kata 21 zitanuf
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: