ZINGATIA HII ITAKUSAIDIA SANA PALE UNAPOKATALIWA 💔 KUSALITIWA ❤️🩹 AU KUACHWA ~ Code za Deo Sukambi
Автор: Hub of Wisdom Inc.
Загружено: 2025-11-25
Просмотров: 1589
Kuna nyakati tunapitia makovu ya kukataliwa, kusalitiwa au kuachwa—na huwa ni maumivu ambayo yanakatisha tamaa. Katika ujumbe huu, Deo Sukambi anafichua codes muhimu za kukusaidia kusimama tena, kupona na kurejesha nguvu yako ya ndani.
Utajifunza:
Jinsi ya kukabiliana na maumivu ya kukataliwa bila kuvunjika moyo
Namna ya kuponya moyo ulioumizwa na usaliti
Kuibuka tena baada ya kuachwa
Mbinu za kuendelea na maisha kwa kujiamini na kutokuacha maumivu yakufunge
Kuweka mipaka, kujithamini na kujijengea misingi ya afya ya kihisia
Ujumbe huu ni dawa kwa mtu yeyote anayepitia kipindi kigumu cha kimahusiano na maisha. Usikate tamaa — bado una thamani, bado unaweza kuanza upya.
💬 Tunathamini maoni yako. 📺 Gusa 'SUBSCRIBE' kwenye H.W Tv hapa YouTube ili usipitwe na maudhui bora zaidi. Shiriki nasi maoni yako kwenye mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea tovuti yetu www.hubofwisdom.com/media | Au tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 Kujiunga na group letu la WhatsApp
.........................................................................
Session Credits: Pator Deogratius Sukambi
#DeoSukambi #Kukataliwa #Usaliti #Kuachwa #MoyoUlioumizwa #MaumivuYaMoyo #Mahusiano #SelfHealing #Kujipenda #LifeLessons #HWMedia #ElimuZaMaisha #RelationshipAdvice #PersonalGrowth #MotivationSwahili #InspirationTanzania #JifunzeKukua #MentalHealthSwahili
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: