🔴Uzinduzi wa Kilimo TV Live! 🔴🌱📺
Автор: WIZARA YA KILIMO ZANZIBAR
Загружено: 2025-04-10
Просмотров: 214
Tunawalika wote kufuatilia Kilimo TV Live kupitia channel rasmi ya Wizara ya Kilimo Zanzibar kwenye YouTube! 🏡🚜 Usiache kufuatilia habari motomoto za kilimo, teknolojia za kisasa, mahojiano na wataalamu, pamoja na mafanikio ya wakulima wetu.
🔴 Jiunge nasi LIVE sasa kwa maarifa ya kilimo bora na fursa za maendeleo!
🆕 Habari Njema! Hivi karibuni, Kilimo TV itapatikana pia kupitia kisimbuzi cha ZMUX—kwa sasa tunafanya majaribio ya mitambo! 🎉
👉 Tazama hapa
📌 #KilimoTVLive | #WizaraYaKilimo | #KilimoNiBiashara | #KilimoBora | #AgricultureInnovation | #ZMUX
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: