Maandalizi ya UDA
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-01-21
Просмотров: 672
Chama cha uda leo kimetangaza orodha ya wagombea wake katika chaguzi ndogo zitakazo andaliwa katika maeneo kadhaa humu nchini mwezi februari. Chaguzi hizo zinahusu eneo bunge la isiolo kusini miongoni mwa maeneo ya uwakilishi wadi huku maafaisa wa chama hicho wakitazamia ushindi.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: