KIWANDA CHA KUCHAKATA MADAGAA KAMA.
Автор: KWARARA MEDIA EDUCATION CENTRE
Загружено: 2025-08-04
Просмотров: 1347
Katika juhudi za kuinua hali za wananchi kiuchumi, serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetenga eneo la hekta 16.9 katika eneo la Kama kwa ajili ya kujenga kiwanda cha kuchakata madagaa. Lengo ni kuweka mazingira rafiki na miundo mbinu bora ya kuimarisha biashara ya dagaa. Mradi huo unagharimu kiasi cha shilingi bilioni 11. Mradi huu mkubwa Afrika una lenga kuongeza thamani ya uzalishaji wa madagaa.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: