Polisi wawanasa washukiwa watatu kwa wizi wa pesa
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2021-01-19
Просмотров: 82600
Watu watatu wakiwemo maafisa wawili wa polisi wanazuiliwa kufuatia kisa cha wizi wa shilingi milioni tatu unusu kutoka kwa gari la benki ya prime bank hapa nairobi. Silaha za maafisa hao wawili waliokuwa wakilinda gari hilo zilipatikana mapema leo mjini kiambu. Na kama anayotuarifu gatete njoroge polisi wanaamini kuwa huenda wahalifu walishirikiana na watu waliofahamu vyema eneo hilo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: