Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.

Автор: Dr. Mwanyika

Загружено: 2021-12-16

Просмотров: 227826

Описание:

MTOTO KUCHEZA CHINI YA KITOVU HUMAANISHA NINI? JE NI KAWAIDA?

Ukweli ni kwamba Mjamzito anayebeba Mimba kwa Mara ya kwanza huanza kuhisi Mtoto kucheza Wiki ya 18 hadi Wiki 20 kwenda juu,

Mjamzito ambaye anabeba Mimba kwa Mara ya Pili,Ya Tatu au zaidi huweza kusikia Mtoto anacheza kuanzia wiki ya 16 hadi 18 kwenda juu.

SABABU ZINAZOPELEKEA MTOTO KUCHEZA CHINI YA KITOVU KTK TUMBO LA MJAMZITO.

Kuna sababu kuu Mbili ambazo hupelekea Mjamzito kuhisi Mtoto anacheza sehemu ya chini ya Tumbo yaani chini ya Kitovu haijalishi upande wa Kulia au Kushoto sehemu ya chini ya Kitovu.

1. Umri wa Mimba/Ujauzito.
Kwa kawaida Wanawake wengi huanza kusikia Mtoto akicheza Mimba ikifikisha Wiki 16 hadi Wiki 20 ndio kipindi ambacho Wajawazito wengine husikia Mtoto akicheza Chini ya Kitovu ktk Tumbo lao,
Mjamzito ambaye ana Mimba chini ya Wiki 22 au Miezi Mitano na Wiki 2, Mara nyingi husikia Mtoto akicheza Chini ya Kitovu hii ni kwa sababu Mimba inapofikisha Wiki 20 Mji wa Uzazi huwa umefika kwenye Kitovu na sehemu ya chini ya Tumbo hususani sehemu ya chini ya Kitovu, Ndio maana kwa asilimia nyingi Mtoto hucheza chini ya Kitovu.

2. Mkao wa Mtoto Tumboni mwa Mjamzito.
Hii huwa zaidi kwa Wajawazito wenye Mimba kuanzia Wiki 22 kwenda juu,
Kumbuka sehemu ambazo Mtoto huchezesha au huwa na Mtikisiko zaidi akiwemo ni Miguu na Mikono ya Mtoto.
Hivyo wakati mwingine Mtoto anapocheza kwenye Tumbo la Mjamzito inawezekana kabisa kujua Mtoto amekaa Mkao upi katika Tumbo la Mjamzito.

A. Mtoto aliyegeuza Kichwa chini (Cephalic Presentation)
Endapo Mtoto amegeuza Kichwa Chini inategemeana zaidi na alivyogeuza Miguu na Mikono yake lakini huweza kupelekea Mtikisiko wa Tumbo Sehemu ya juu ya Kitovu, sehemu ya katika ya Kitovu au Pembeni mwa Tumbo yani Kushoto au Kulia.

B. Mtoto aliyekaa kwa Ulalo.
(Transverse Lie)
Endapo Mtoto amekaa Ulalo maana yake Mikono na Miguu inawezekana ikawa upande wa Kushoto au Kulia hivyo sehemu zitakazokuwa na Mtikisiko zaidi ni upande wa Kushoto, katikati au Kulia mwa Tumbo la Mjamzito.

C. Mtoto aliyetanguliza Matako/Makalio. ( Breech Presentation)
Endepo Mtoto ametanguliza Matako inawezekana akawa anacheza zaidi chini ya Kitovu lakini hutegemea zaidi Aina ya Breech endapo ametanguliza Makalio na amekunjua maungio ya kwenye goti (Frank Breech) huweza kuwa anacheza zaidi upande wa juu wa Tumbo, Kushoto sehemu ya juu ya Kitovu au Kulia sehemu ya juu ya Kitovu katika Tumboni mwa Mjamzito wakati mwingine sehemu ya katika mwa Tumbo la Mjamzito (Kitovuni)

KUMBUKA: Ili uweze kujua mkao wa Mtoto unatakiwa kwenda hospital ukachunguzwe na wahudumu wa Afya ambapo watakagua Tumbo lako na kujua kuwa Mtoto amekaaje Tumboni au Unaweza kufanya Ultrasound na itakusaidia kujua mwanao amekaaje Tumboni.

Endapo Mtoto ametanguliza Makalio na Mimba haijafikisha Wiki 36 basi haina shida na hutakiwi kuwa na hofu, kwa sababu Mtoto anakuwa Breech au Ametanguliza Makalio endapo Mimba imefikisha wiki 36 kwenda Juu na hii huweza kupelekea changamoto wakati wa Kujifungua.

Nifuatilie kwenye channel yangu kuhusu Mambo ya Ujauzito.
   / drmwanyika  

Nifuatilie Instagram kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / dr._mwanyika  

Nifuatilie kwenye website hii kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://mamaafya.com/

Nifuatilie kwenye Facebook page kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
  / japideafya  

Usisahau kudownload app ya Mama Afya Bora kwa ajili ya Mambo ya Ujauzito.
https://play.google.com/store/apps/de...

#MtotoKuchezaTumboni
#DrMwanyika
#MamaAfya

Mtoto kucheza chini ya Kitovu ktk Tumbo la Mjamzito ina maanisha Nini? | Je ni Dalili ya hatari??.

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Je Mtoto Kufariki Tumboni Mwa Mjamzito Husababishwa NA Nini? | Visababishi Vya Mtoto Kufia Tumboni!

Je Mtoto Kufariki Tumboni Mwa Mjamzito Husababishwa NA Nini? | Visababishi Vya Mtoto Kufia Tumboni!

Je Kuna Umuhimu wa kushiriki Tendo la Ndoa Mjamzito?|Athari na Tahadhari zake kwa Mjamzito

Je Kuna Umuhimu wa kushiriki Tendo la Ndoa Mjamzito?|Athari na Tahadhari zake kwa Mjamzito

Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito!

Je Dalili ZA Mtoto Tumboni Kushuka Kwenye Nyonga Zipi?? | Dalili 11 ZA Mtoto Kushuka Kwa Mjamzito!

Mtoto kucheza tumboni | Ni sababu zipi hupelekea Mtoto kutocheza au kuacha kucheza tumboni??

Mtoto kucheza tumboni | Ni sababu zipi hupelekea Mtoto kutocheza au kuacha kucheza tumboni??

Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??.

Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike Tumboni mwa Mjamzito! | Ni zipi Dalili za Mimba ya Mtoto wa Kike??.

Je Dalili ZA Mimba Ya Wiki 31 AU Miezi 7 NA Wiki 3 Zipi? | Dalili ZA Miezi 3 Ya Mwishoni!!

Je Dalili ZA Mimba Ya Wiki 31 AU Miezi 7 NA Wiki 3 Zipi? | Dalili ZA Miezi 3 Ya Mwishoni!!

Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?.

Je Mtoto Kucheza Miezi 3 ya mwanzoni mwa Ujauzito ni kawaida? {Mtoto kucheza miezi 3 ya mwanzo}!?.

JE MAUMIVU UKENI KWA MJAMZITO HUTOKANA NA NINI?? | JINSI YA KUPUNGUZA MAUMIVU UKENI KTK UJAUZITO!!

JE MAUMIVU UKENI KWA MJAMZITO HUTOKANA NA NINI?? | JINSI YA KUPUNGUZA MAUMIVU UKENI KTK UJAUZITO!!

Dalili za Mimba ya Mtoto wa kiume / Je kuna ukweli katika dalili hizi za mtoto wa kiume tumboni????

Dalili za Mimba ya Mtoto wa kiume / Je kuna ukweli katika dalili hizi za mtoto wa kiume tumboni????

WEMA SEPETU, KAJALA, PAUL NA LULU DIVA WAMPA ZAWADI HII NANDY KWENYE KIBAO KATA

WEMA SEPETU, KAJALA, PAUL NA LULU DIVA WAMPA ZAWADI HII NANDY KWENYE KIBAO KATA

JE TAREHE YA MATARAJIO KUTOKANA YA ULTRASOUND HUWA NI SAHIHI? | TAREHE YA MATAZAMIO YA KUJIFUNGUA!

JE TAREHE YA MATARAJIO KUTOKANA YA ULTRASOUND HUWA NI SAHIHI? | TAREHE YA MATAZAMIO YA KUJIFUNGUA!

"Źle się dzieje, jest bardzo niedobrze”. Generał o nowym ładzie bezpieczeństwa.

Je Kujinyoosha Kwa Mama Mjamzito Kuna Madhara Gani?? (Madhara Ya Kujinyoosha Sana Kwa Mjamzito)!!!!

Je Kujinyoosha Kwa Mama Mjamzito Kuna Madhara Gani?? (Madhara Ya Kujinyoosha Sana Kwa Mjamzito)!!!!

JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.

JE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE UKENI KWA MJAMZITO HUSABABISHWA NA NINI? | SABABU ZA UCHAFU UKENI??.

MTOTO YATIMA { 5 }

MTOTO YATIMA { 5 }

Dalili 17 ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Wiki 20 AU Miezi 5 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 20

Dalili 17 ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Wiki 20 AU Miezi 5 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 20

Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8

Dalili ZA Mimba Changa Ya Mapacha Ya Miezi 2 AU Wiki 8 Kwa Mjamzito| Mimba Ya Mapacha Ya Wiki 8

Je ni lini Mjamzito anatakiwa kulala kwa upande wa kushoto?? | Mjamzito haruhusiwi kulalia Mgongo?.

Je ni lini Mjamzito anatakiwa kulala kwa upande wa kushoto?? | Mjamzito haruhusiwi kulalia Mgongo?.

Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika!

Siri za Kupata Mimba Ukiwa na Hedhi Inayobadilika badilika!

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]