MASHINDANO YA USOMAJI WA BIBLIA UGHAIBUNI
Автор: Mtangazaji
Загружено: 2024-12-29
Просмотров: 61
@Mtangazaji #adventurerclub #pathfinders #adventistyouth #adventistchurch
Kila mwaka katika Divisheni ya Amerika ya Kaskazini ya Kanisa la Waadventista wa Sabato hufanyika mashindano ya usomaji wa Biblia kwa vijana wa umri wa miaka 4 hadi 15 walioko katika idara ya vijana ya kanisa hilo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: