MAKALA YA UZINDUZI WA MBOLEA KUTOKA EPINAV, TUMEANZA NA MYCOGEL, RASER & GREEN FIELD Power Ultra.
Автор: EPINAV
Загружено: 2023-07-02
Просмотров: 1301
Uzinduzi huu umefanyika katika shamba la majaribio lililopo Arusha linalojulikana kama Bomakubwa Farm, Ukiongozwa na mkurugenzi wa Kampuni ya Epinav.
Haya ni maelezo mafupi kwa mbolea iliyotumika ya mycogel
MYCOGEL ni NINI?
Mycogel kazi yake ni kuuongezea mmea uwezo wa kuongeza na kurefusha mizizi (Secondary & tertiary roots system) na kuupa mmea uwezo wa kutumia lishe na maji vizuri hata kukiwa na ukame uliopitiliza, kwani hyphae zinatoota na kushikana na mizizi huweza kuisaidia mizizi kufuata maji na chakula mbali, sehemu ambayo mizizi ya Mimea isiyotumia Mycogel isipoweza kufikia.
Ndani ya Mycogel kuna viumbe hai waitwao Mycorrhiza ambao ndio hasa hukua kwenye mizizi na kuupa mmea uwezo wa kipekee wa kubaki Kijani hata kama jua na ukame ni Mkali. Kwa kawaida, mbolea nyingi za viwandani zinapowekwa shambani huweza kushuka chini ya eneo ambalo mizizi ya mmea haiwezi kufika, hivyo bila Mycogel mmea utashindwa kuifikia mbolea iliyoshuka Leached Fertilizers na Mkulima atakuwa kama katupa mbolea/pesa. Mycogel inakuhakikishia mavuno kwenye ukame na Matumizi Bora (unyonywaji) Bora wa Virutubisho/Mbolea Ardhini.
Utofauti wa Mycogel na bidhaa nyingine zenye Mycorrhiza ni kama ifuatavyo
@Kimitec @mesahani
Mycogel
Kwa Mawasiliano zaidi Wasiliana nasi kwa Kupiga simu ama WhatsApp 0747906694
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#nyanya #kilimobiashara #kilimo #agrigraphics #kilimochakisasa #agribusiness #tomato #habari #miche #wizarayakilimo #huseinbashe #ubunifu #vijana #News #wasafi #itv #tbc #cloudstv #dar24media #trending #kilimochanyanya #shambani #BBT #epinavSeeds #quality #marioo #alikiba #chino #diamond #enjoy #sumu
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: