Wasira aitetea tume ya Samia, asema inapaswa kuaminiwa ila tatizo ni chama kilichokataa uchaguzi
Автор: Weyani Tv
Загружено: 2025-11-21
Просмотров: 12454
Makamu mwenyekiti wa CCM Bara Bwana Steven Wasira amezungumza na Idhaa ya Kiswahili ya DW na kusema kuwa tatizo la Tanzania ni chama cha upinzani kinachoipinga tume iliyoundwa na Samia Suluhu kutafuta jibu la kwanini vijana waliingia mtaani Oktoba 29 na baada ya hapo. Ikumbukwe kuwa Chadema ndiyo chama cha upinzani kilichokataa kushiriki uchaguzi. Sikiliza mahojiano ya Wasira na DW Kiswahili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: