Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

LILITH- MWANAMKE ALIYEGEUKA NYOKA EDENI NA KUMDANGANYA EVA

Автор: SIRI ZA BIBLIA

Загружено: 2020-11-29

Просмотров: 48085

Описание:

#Lilith #BibliaTakatifu#SiriZaBbiblia
Lilith ni jina la mwanamke ambaye katika hadithi fulani za Mesopotamia ya kale anatajwa kama mungu mke.

Biblia inasimulia jinsi dunia ilivyoumbwa na mwanzo wa ubinadamu. Katika maandiko hayo, inasemwa kwamba Adamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu, na baada ya kumuumba Adamu, alichukua ubavu kutoka kwa Adamu na kumuumba Hawa. Ni kweli hadithi za uumbaji zina changamoto kuzifahamu sawasawa, hususani kitabu cha Mwanzo 1:26 na Mwanzo 2. Uumbaji wa mwanamke unatajwa sehemu hizo mbili, lakini kwa namna tofauti, kwa kuwa ni visasili tofauti. Katika Mwa 1:26 Mungu aliwaita wote Adamu na Eva. Katika Mwa 2 Mungu anamuumba Hawa baada ya kuchukua ubavu wa Adamu na kumfanya mwanamke.

Isa 34:14 tu inamtaja Lilith, na jina hilo linatafsiriwa pengine "Bundi", sambamba na wanyama wengine wanaotajwa katika mstari huo na ule unaofuatwa.

Wanaokubali hadithi hiyo wanadai Lilith, si Hawa, ndiye mwanamke wa kwanza ulimwenguni naye aliumbwa na Mungu wakati mmoja na Adamu. Inasemekana kwamba Lilith alifukuzwa na kukataliwa na Mungu baada ya kupatikana kuwa alikuwa mwenye nguvu zaidi na mwenye akili zaidi ya Adamu na hakutii amri za Adamu.

Wanadai Lilith haikutajwa katika kitabu cha Mwanzo kwa kuwa inakwenda kinyume na jadi ya kutaka mnanamke atii mwanamume na wanawake kuwa katika hali ya chini kuliko wanaume. Wanadai pia Biblia ya sasa imepitia vichujio vingi vya kidini ili kuhakikisha kwamba inapoteza baadhi ya sehemu muhimu. Hata hivyo, kuna sehemu ambayo imeachwa ndani yake ambayo inaonyesha kwamba Mungu hakumuumba mwanamume tu bali alimuumba mwanamke kwa wakati huohuo, badala ya simulizi la ubavu kuchukuliwa kutoka kwa Adamu kama ilivyopendekezwa kwenye Biblia.

LILITH- MWANAMKE ALIYEGEUKA NYOKA EDENI NA KUMDANGANYA EVA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

KITABU CHA HENOKO KIMEBEBA SIRI NYINGI ZA UCHAWI NDIYO MAANA KILITOLEWA KWENYE BIBLIA

KITABU CHA HENOKO KIMEBEBA SIRI NYINGI ZA UCHAWI NDIYO MAANA KILITOLEWA KWENYE BIBLIA

PART1:MWANAUME ALIEZAA NA NYOKA APATE UTAJIRI/NILIMUUA MAMA/NILIUZWA NA MCHUNGAJI/BABA NYOKA VICHWA7

PART1:MWANAUME ALIEZAA NA NYOKA APATE UTAJIRI/NILIMUUA MAMA/NILIUZWA NA MCHUNGAJI/BABA NYOKA VICHWA7

UKWELI KUHUSU NYOKA KWENYE BUSTANI YA EDENI.

UKWELI KUHUSU NYOKA KWENYE BUSTANI YA EDENI.

LILITH MKE WA KWANZA WA ADAMU KABLA YA EVA KWENYE BIBLIA? MWL KYABASHASA AMTAJA GEOR DAVIE NA ISAYA

LILITH MKE WA KWANZA WA ADAMU KABLA YA EVA KWENYE BIBLIA? MWL KYABASHASA AMTAJA GEOR DAVIE NA ISAYA

HITORIA YA PILATO/MFALME KATILI ZAIDI DUNIANI

HITORIA YA PILATO/MFALME KATILI ZAIDI DUNIANI

TUNDA LA KATI KATI KUMBE NI SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE NA NYOKA NI DHAKARI YA MWANAUME?

TUNDA LA KATI KATI KUMBE NI SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE NA NYOKA NI DHAKARI YA MWANAUME?

SADAKA YA ISAKA MTOTO WA IBRAHIM NA SIRI NZITO/MUNGU AZUIA

SADAKA YA ISAKA MTOTO WA IBRAHIM NA SIRI NZITO/MUNGU AZUIA

ISRAELI NA UKWELI USIOJULIKANA // AHADI INAYOTIMIA SASA

ISRAELI NA UKWELI USIOJULIKANA // AHADI INAYOTIMIA SASA

MFALME SULEMANI NDIYE MWANZILISHI WA FREEMASON DUNIANI 1WAFALME 7:13-14

MFALME SULEMANI NDIYE MWANZILISHI WA FREEMASON DUNIANI 1WAFALME 7:13-14

BIKIRA MARIA ALIZAA WATOTO WENGI WENGI TU BAADA YA KUMZAA YESU KRISTO

BIKIRA MARIA ALIZAA WATOTO WENGI WENGI TU BAADA YA KUMZAA YESU KRISTO

JE, Ni Kweli LILITH Alikuwa Mke wa Kwanza Wa ADAM?

JE, Ni Kweli LILITH Alikuwa Mke wa Kwanza Wa ADAM?

ALIYEKUWA FREEMASON NA KANUMBA ATOA SIRI NZITO AMTAJA DIAMOND PLATNUMZ

ALIYEKUWA FREEMASON NA KANUMBA ATOA SIRI NZITO AMTAJA DIAMOND PLATNUMZ "KAMA NITAKUFA BASI" NDO M..

Mungu Akitaka Kukupa Kitu Kikubwa, Utaona Dalili Hizi

Mungu Akitaka Kukupa Kitu Kikubwa, Utaona Dalili Hizi

The Story Book : Kisa Cha SHETANI Kufukuzwa MBINGUNI (Kwa Mujibu wa WAISLAMU)

The Story Book : Kisa Cha SHETANI Kufukuzwa MBINGUNI (Kwa Mujibu wa WAISLAMU)

MUNGU ALITOKA WAPI ALIUMBWA NA NANI?

MUNGU ALITOKA WAPI ALIUMBWA NA NANI?

OMBEA FAHAMU ZAKO

OMBEA FAHAMU ZAKO

SUFURIA YA NDAGU | Simulizi ya kusisimua

SUFURIA YA NDAGU | Simulizi ya kusisimua

КТО СОЗДАЛ ЛЮДЕЙ? ЛАБОРАТОРИЯ БОГОВ И ЗАПРЕТНАЯ ПРАВДА | ИСТОРИИ НА НОЧЬ 🌙

КТО СОЗДАЛ ЛЮДЕЙ? ЛАБОРАТОРИЯ БОГОВ И ЗАПРЕТНАЯ ПРАВДА | ИСТОРИИ НА НОЧЬ 🌙

UKIOTA NDOTO HIZI TANO (5) NI KWELI LAKINI TAFADHALI USIMWAMBIE MTU YEYOTE.

UKIOTA NDOTO HIZI TANO (5) NI KWELI LAKINI TAFADHALI USIMWAMBIE MTU YEYOTE.

Malaika Wanasujuduje Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu? Siri za Mbinguni Zafunuliwa

Malaika Wanasujuduje Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu? Siri za Mbinguni Zafunuliwa

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com