Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)

Автор: Neema Gospel Choir

Загружено: 2024-02-14

Просмотров: 22848474

Описание:

Urejesho ni mchakato wa kurudisha kitu kilichoharibika au kupotea. Biblia inatuhimiza kumgeukia Mungu. Na kupitia imani na maombi, tutapata uponyaji, kurejeshewa nguvu, na kupewa maisha mapya katika Kristo Yesu.

‭Yer‬emia 30:17‬
Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA ...
‭‭Yoe‬li ‭2:25‬ ‭
Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu.

Mnamo mwaka 2022, Familia ya Ev. Mchome, ilipitia kipindi kigumu sana baada ya kumpoteza mama yao mpendwa (Aliyeanguka ghafla na kufariki). Majonzi na simanzi kubwa ilitanda mioyoni mwao mithili ya wingu zito na giza totoro, hakuna maneno mazuri ambayo yangetosha kuwapa faraja familia hii.

Na hapa ndipo yalipatikana Mafunuo ya wimbo huu: Full story link -    • Neema Gospel Choir - Nikurejeshee Inspired...  

Songwriter & Composer: Herman Mchome
Leader: Herman Mchome

#neemagospelchoir #gospel #nikurejeshee

——

VICTORIOUS JOURNEY PRODUCT
held on 01st December 2023 at Uhuru Stadium - Dar es Salaam.

𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Titus Alfred
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: Victorious Production
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound
𝐒𝐜𝐫𝐞𝐞𝐧: ABE & Ryzen
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Jeddy
𝐌𝐨𝐧𝐢𝐭𝐨𝐫 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Junior Albert (Gaddy)
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Allan Lights
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maxlifah. (Max the Alternative) 🇰🇪
𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Parmena Winfred
𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Production Fundamentals Limited
𝐑𝐢𝐠𝐠𝐢𝐧𝐠 𝐚𝐧𝐝 𝐬𝐚𝐟𝐞𝐭𝐲 𝐞𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Maurice Sikuku 🇰🇪

𝗖𝗢𝗡𝗡𝗘𝗖𝗧 𝗪𝗜𝗧𝗛 𝗨𝗦:
Instagram: Neema Gospel Choir
Facebook: Neema Gospel Choir
X: Neema Gospel Choir
Threads: Neema Gospel Choir
Tiktok: Neema Gospel Choir

𝐂𝐨𝐧𝐭𝐚𝐜𝐭 𝐮𝐬:
Whatsapp: +255 766 777 288
Email: [email protected]
Website: www.neemagospelchoir.org

©️2024

Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA

Dr.Ipyana - NAWEZAJE KUNYAMAZA//NAMNA HII SIJAONA

Джем – Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)

Джем – Neema Gospel Choir - Nikurejeshee (Live Music Video)

SPIRITUAL STRENGTH | Gospel Reggae songs Mix 2025 | When You're Lost & Seeking

SPIRITUAL STRENGTH | Gospel Reggae songs Mix 2025 | When You're Lost & Seeking

Umenipendelea - Henrick Mruma ft. Eliya Mwantondo (Official Live Video)

Umenipendelea - Henrick Mruma ft. Eliya Mwantondo (Official Live Video)

Neema Gospel Choir - Chukwu Oma Ft. Rehema Simfukwe (Live Music Video)

Neema Gospel Choir - Chukwu Oma Ft. Rehema Simfukwe (Live Music Video)

Goodness Of God - Best Morning Worship Songs, Hillsong Worship Collection 2025 , Worship Music

Goodness Of God - Best Morning Worship Songs, Hillsong Worship Collection 2025 , Worship Music

Umestahili Yesu  - Tafes Aru Praise & Worship |  Live Music Video

Umestahili Yesu - Tafes Aru Praise & Worship | Live Music Video

Merry Christmas 2025🎄🎅The 50 Most Beautiful Christmas Songs ❄️ Top Christmas Music

Merry Christmas 2025🎄🎅The 50 Most Beautiful Christmas Songs ❄️ Top Christmas Music

POWERFUL SWAHILI WORSHIP 2025 – Zaidi Ya Niombavyo, Bila Wewe Yesu Siwezi, Hakuna Mungu Kama Wewe

POWERFUL SWAHILI WORSHIP 2025 – Zaidi Ya Niombavyo, Bila Wewe Yesu Siwezi, Hakuna Mungu Kama Wewe

Israel Mbonyi - Swahili Collection (2024)

Israel Mbonyi - Swahili Collection (2024)

Neema Gospel Choir - MWEMA

Neema Gospel Choir - MWEMA

Dr Ipyana - Niseme Nini (Baba NinaKushukuru)-Thanksgiving Anthem SKIZA CODE SMS 6980427 send to 811

Dr Ipyana - Niseme Nini (Baba NinaKushukuru)-Thanksgiving Anthem SKIZA CODE SMS 6980427 send to 811

Kestin Mbogo ft. Israel Kakondja -  Natamani Nikuone - LIVE [OFFICIAL VIDEO]

Kestin Mbogo ft. Israel Kakondja - Natamani Nikuone - LIVE [OFFICIAL VIDEO]

Hillsong Worship Best Praise Songs Collection 2025,Special Worship Songs Playlist,Christian Worship

Hillsong Worship Best Praise Songs Collection 2025,Special Worship Songs Playlist,Christian Worship

Agape Gospel Band - Shuka Yesu (Live Music Video)

Agape Gospel Band - Shuka Yesu (Live Music Video)

Best Swahili Worship Songs Nonstop – Ombi Langu, Hakuna Mungu Kama Wewe, Deep Prayer & Worship Mix

Best Swahili Worship Songs Nonstop – Ombi Langu, Hakuna Mungu Kama Wewe, Deep Prayer & Worship Mix

Dr.Ipyana - NI MKONO WAKO ft. Fay Jonathan // Praise and Worship medley

Dr.Ipyana - NI MKONO WAKO ft. Fay Jonathan // Praise and Worship medley

Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )

Ufunuo Choir - Usisahau ( Live Performance )

Джем – Neema Gospel Choir

Джем – Neema Gospel Choir

Goodness of God - Come Jesus Come | Powerful Black Gospel Songs by CeCe Winans | Gospel Mix 2025

Goodness of God - Come Jesus Come | Powerful Black Gospel Songs by CeCe Winans | Gospel Mix 2025

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]