INASIKITISHA SANA JUU YA CHOZ LA YATIMA TUWAONETUWAONEEN URUMA
Автор: ISLAMIC CHANNEL ONLINE TV
Загружено: 2021-06-28
Просмотров: 125
Asalam alayqum ndugu yangu Tambua umeumbwa kwa ajili ya akhera sio dunia, na kwa ajili ya kuondoka sio kubakia, na wewe upo katika nyumba ya mabalaa na njia ya kuelekea akhera, unafukuzwa na mauti ambayo hasalimiki yule yanayomtaka, kuwa mwenye Tahadhari yasikukute hali ya kuwa uko kwenye hali mbaya, usiwe unafikiria kutubia kisha unashindwa, utakuwa umeiangamiza nafsi yako.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: