TUZO NANE (08) ZA TFF KWA MSIMU WA MWAKA 2024 /2025
Автор: Torontotv Tabora
Загружено: 2025-09-24
Просмотров: 323
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza Hafla ya Tuzo za Shirikisho hilo (TFF Awards 2025) itakayofanyika mwanzoni mwa mwezi Desemba 2025 ambapo Tarehe lengo ikiwa ni kutambua wanamichezo waliofanya vizuri katika maeneo mbalimbali kwa msimu wa 2024/2025.
Katika hafla hiyo, tuzo zitatolewa katika makundi nane ya Ligi Kuu ya NBC, Kombe la Shirikisho la benki ya CRDB, Ligi Kuu ya Wanawake, Ligi ya NBC ya Championship, First League, Ligi ya U20 ya NBC, na tuzo za Utawala.
Aidha Mchezaji Bora (MVP) kwa msimu wa 2024/2025 atafahamika usiku wa tuzo hizo. wadhamini.
Kwa habari na Matukio yote Muhimu yenye Maslahi mapana kwa UMMA, wasiliana nasi kwa +255 764 736 372, +255 787 721 965 Barua pepe, [email protected], Tufuatilie katika Mitandao yetu ya Kijamii, Youtube, Twitter, Facebook na Instagram kwa jina la Torontotv Tabora. "Toronto Online Tv - habari na matukio tumekufikia"
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: