Mwabukusi: TLS ni Kiungo wa kuifanya Nchi yetu kukua Kiuchumi, Kisiasa na Demokrasia
Автор: JamiiForums
Загружено: 2024-07-26
Просмотров: 105
SHERIA: Leo Julai 26, 2024 Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam imetolea hukumu kesi iliyofunguliwa na Wakili Boniface Mwabukusi dhidi ya Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS)
Baada ya kusikiliza hoja za pande zote mbili Mahakama imetengua maamuzi ya kamati ya rufani ya TLS, na kumrejesha Wakili Mwabukusi kugombea Urais wa TLS
Hapo awali Wakili Mwabukusi aliondolewa kwenye mchakato huo ambapo aliamua kufungua shauri la kupinga maamuzi ya kamati ya rufani iliyomuengua. Uchaguzi wa Rais wa TLS unatarajiwa kufanyika mapema Agosti, 2024
Soma https://jamii.app/MwakubusiKugombeaUr...
#JamiiForums #SocialJustice #CivilRights
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: