Tazama Mwili wa Jenista Mhagama Ukiwasili,Huzuni Yatikisa Songea | Ratiba ya mazishi hii hapa
Автор: Toka zamani Tv
Загружено: 2025-12-15
Просмотров: 1708
Simanzi kubwa imetawala Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kufuatia kuwasili kwa mwili wa aliyekuwa Waziri Jenista Mhagama kwa ajili ya taratibu za mazishi. Maelfu ya waomboleza, viongozi wa serikali, ndugu, jamaa na wananchi walijitokeza kumpokea na kutoa heshima zao za mwisho. Tukio hili limeacha huzuni na majonzi makubwa kwa Watanzania wengi walioguswa na mchango wake katika uongozi wa taifa.
#JenistaMhagama #SimanziSongea #MazishiJenistaMhagama
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: