WANAFUNZI 88 WANUFAIKA NA MPAGO WA KARO KUTOKA KWA TIM WANYONYI AND FRIENDS.
Автор: URBAN TV
Загружено: 2026-01-05
Просмотров: 35
Wanafunzi 88 katika Kaunti ya Bungoma wanufaika kwa kupata karo kutoka kwa mpago wa ufadhili wa Hon. Tim Wanyonyi na marafiki wake. Wanyonyi amehoji kuwa nia yao ni kuhakikisha kuwa wanafunzi kutoka familia zisizojiweza wanapata nafasi ya elimu kama wale ungine..
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: