TWAKUPA SHUKRANI Mabibo Hostel Choir (Official Video)
Автор: USCF MABIBO CHOIR
Загружено: 2024-05-26
Просмотров: 5005
TWAKUPA SHUKURANI ni Moja kati ya nyimbo 10 katika Albamu ya MAHALI SAHIHI.
Wimbo Huu umebeba ujumbe kutoka katika Biblia takatifu kitabu cha,
Zaburi 106:1, au Zaburi 107:1, au Zaburi 118:29 na 1 Nyakati 16:34
"Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema, Kwa maana fadhili zake ni za milele"
Karibu Sana kutazama wimbo Huu, unaotukumbusha kumshukuru MUNGU kila wakati, na kwa kila hali tunayokutana nayo sasa, au tuliyowahi kukutana nayo kabla kama wanadamu.
Ubarikiwe Sana
Kwa nyimbo nyingine kutoka Albamu ya MAHALI SAHIHI, fuata Link ifuatayo
• MAHALI SAHIHI Album
Kwa Nyimbo nyingine kutoka Albamu ya TULIKOTOKA NI MBALI, Fuata Link ifuatayo
• TULIKOTOKA NI MBALI ALBUM
#subscribe #like #share #fyp #comment
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: