KOCHA MPYA SIMBA NI HUYU HAPA/AISEE NI BONGE LA KOCHA MWENYE CV KUBWA
Автор: MWANDIKE DIGITAL
Загружено: 2025-12-03
Просмотров: 5402
Mchambuzi wa soka, Machange JR amefunguka Kwa undani Kuhusu tetesi za soka ambazo zinaeleza kwamba klabu ya Simba imeanza kufanya mazungumzo na kocha wa timu ya Petroleos De Luanda,Franc Artiga ili aifundishe timu hiyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: