Watu watatu wakamatwa jijini Nakuru kwa kutengeneza kemikali hatari iliyoua watu watatu
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2024-12-25
Просмотров: 8021
Watu Watatu Wamekamatwa Mjini Nakuru Kwa Madai Ya Kumiliki Kiwanda Cha Kutengeneza Kemikali Hatari Eneo La Ndege Ndimu. Hii Ni Baada Ya Watu Watatu Kufariki Baada Ya Kunywa Kemikali Ya Methanol Kutoka Kwa Kiwanda Hicho Jumamosi Iliyopita.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: