RAIS DKT. SAMIA AKIONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MBUNGE JENISTA MHAGAMA
Автор: Chama Cha Mapinduzi - Official
Загружено: 2025-12-14
Просмотров: 31512
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza familia, viongozi, wabunge na waombolezaji wengine, katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Mhe. Jenista Joakim Mhagama, iliyofanyika katika Kanisa la Maria-Theresa Ledochowska, Parokia ya Kiwanja cha Ndege, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, tarehe 13 Desemba, 2025.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: