HII NDIYO ZAWADI YA RAIS MAGUFULI KWA HALMASHAURI YA MJI WA MBINGA
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2020-05-27
Просмотров: 3530
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma christina Mndeme amemshukuru Rais Dkt.John Magufuli kwa kutoa zaidi ya shilingi bilioni 2.9 kwa Halmashauri ya Mji Mbinga ambazo zimetumika kujenga majengo tisa likiwemo jengo la Halmashauri ya Mji wa Mbinga lililoanza kutumika.Mndeme alikuwa anazungumza katika Baraza maalum la madiwani la CAG mjini Mbinga
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: