MKUTANO WA UBUNIFU NA KUBADILISHANA UZOEFU KWA WATAALAMU WA UZALISHAJI WA MBEGU ZA MBOGAMBOGA 2025
Автор: TAHA ONLINE TV (TAHA)
Загружено: 2025-06-18
Просмотров: 95
TAHA, TASTA pamoja na AGCOT kwa kushirikiana na Taasisi ya World Vegetable Center kupitia jukwaa la Tanzania Horticulture and Potato Seed Platform (THPSP), wamefanya Mkutano wa Kitaifa wa Ubunifu na Kubadilishana Uzoefu kwa Wataalamu wa Uzalishaji wa Mbegu za Mbogamboga kwa Mwaka 2025.
Malengo la mkutano hu oni;
1. Kukutana ana kwa ana na wataalamu na kampuni za mbegu kutoka ndani na nje ya nchi.
2. Uwasilishaji wa mchakato wa utafiti wa aina mpya na vinasaba vya mbegu za mboga.
3. Kuchunguza fursa za ushirikiano katika uzalishaji na biashara ya mbegu.
4. Maonyesho mafupi ya bidhaa za mbegu kutoka kampuni za Tanzania na washirika wa Kimataifa.
Mgeni Rasmi katika Mkutano huu ni Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Balozi Wiebe De Boer. Tunaamini kupitia jukwaa hili, tasnia ya uzalishaji wa mbegu za mbogamboga itaendelea kustawi kwa ubunifu, ushirikiano na uendelevu.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: