Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

1. MAOMBI YA TOBA NA REHEMA YA NYUMBA YA BABA YAKO - MWL. ISAAC JAVAN - (Prayer Points)

Автор: Isaac Javan

Загружено: 2021-06-16

Просмотров: 40133

Описание:

MAELEKEZO
Kabla hujafanya maombi haya, hakikisha umepata nafasi ya kusikiliza kwanza mafundisho yake, ambayo ndani yake yamebeba maarifa na maelekezo. Kama bado, fungua link hii    • 1. MAOMBI YA KUSHINDA VITA YA NYUMBA YA BA...   ili kupata mafundisho haya. Ni muhimu sana usikilize mafundisho kwanza, ili utakapoanza kuomba maombi haya, yakupe matokeo mazuri katika uliwengu wa roho.

Huu ni muongozo wa maombi ya toba na rehema, yanayohusu nyumba ya baba zetu. Matatizo yanayotoka kwenye msingi wa nyumba ya baba, yanakuwa na uhalali wa kisheria, unaoyapa kibali cha kuendelea kukaa na kutesa vizazi vingi. Na kwa sababu hiyo, hayawezi kuondoka kwa kukemea peke yake. Yanahitaji maombi ya toba na rehema. Kazi ya maombi haya ni kuondoa adhabu na madhara ya kiroho yaliyopata uhalali wa kukaa ndani ya mtu, familia, au ukoo. Kwa hiyo, unapoomba maombi haya, omba kwa imani ukimaanisha. Inawezekana kabisa, makosa hayakufanywa na wewe lakini yalifanywa na baba aliyekuzaa au baba waliokutangulia.Wewe omba, halafu Mungu anaenda kufanya kitu kwa ajili yako. Kumbuka, maombi ya toba na rehema yanaondoa adhabu ya kiroho na yanafuta uhalali wa kisheria ambao shetani anausimamia.

Mungu akubariki na kukutia nguvu unapofanya maombi haya. Amen.

1. MAOMBI YA TOBA NA REHEMA YA NYUMBA YA BABA YAKO - MWL. ISAAC JAVAN - (Prayer Points)

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

2. MAOMBI YA KUSHINDA VITA YA NYUMBA YA BABA YAKO - MWL. ISAAC JAVAN - EVENING GLORY - KKKT KISASA

MAOMBI YA TOBA NA REHEMA YA NYUMBA YA BABA YAKO - MWL. ISAAC JAVAN - (Part 2 & 3) - (Prayer Points)

MAOMBI YA KUVUNJA  VIFUNGO VYA FAMILIA NA MADHABAHU ZA FAMILIA.

SIFA NAMA HABUDU/FULL MUKUNGA KWENYE UBEMBE CONFÉRENCE 2022

TOBA INAKUTOA KWENYE VIFUNGO VYOTE(BY Apostle Vera Muro)

Maombi ya kufunguliwa  - Mwl.Davidney kaale

A Powerful Blessing Prayer Over Your Home | (Leave This Playing)

Nyimbo za Imani (Songs of Faith) - Full Album | Swahili Worship Covers

The Steps Towards Healing a Broken Family || Bishop Jim Mwando

MAOMBI YA KUPONYA HISTORIA YA MAISHA YAKO (Deliverance) - MWL. ISAAC JAVAN

MAOMBI YA TOBA KUTUBU, JINSI YA KUOMBA REHEMA KWA MUNGU - KUPATA MSAMAHA WA DHAMBI.

MAOMBI YA KUKOMESHA MATATIZO YANAYO JIRUDIA | MWL EZEKIEL MALANDO | 07 Septemba, 2023

DEEPEST SWAHILI WORSHIP & PRAYER SONGS | Uongezeke Yesu • Asante Kwa Neema • Shukrani Isiyoisha

MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA GIZA - Innocent Morris

MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA KICHAWI - MWL. ISAAC JAVAN - VOL.03

1.ITUMIE DAMU YA YESU KAMA SILAHA YA VITA

RETURN TO SENDER Prayer Against All Black Magic, Hexes, Spells, Curses,  Evil & Negative Energies

3. MAOMBI YA KUVUNJA NDOA YA KIROHO | Spiritual Husband | Spiritual Wife | MWL. ISAAC JAVAN

MAOMBI YA KUACHILIA DAMU YA YESU KATIKA KILA ENEO LA MAISHA YAKO by Innocent Morris

Maombi ya usiku WA manane Maombi henge nguvu na Ufungulivu by Godwin Ndelwa

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: infodtube@gmail.com