Dampo la Jumbi Zanzibar kugeuzwa soko la kisasa
Автор: Azam TV
Загружено: 2022-11-04
Просмотров: 2509
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imetangaza kuanza kwa ujenzi wa soko la kisasa kwenye eneo la Jumbi ambalo awali lilikuwa likitumika kwa kazi ya kukusanyia takataka huku ujenzi huo ukitarajiwa kufanywa na kikosi cha chuo cha mafunzo.
#AzamTVUpdates
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: