OPERESHENI NZITO USIKU BARABARANI ya KUWANASA MADEREVA WAZEMBE na WALEVI WANAOSABABISHA AJALI...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2025-12-06
Просмотров: 1228
OPERESHENI NZITO USIKU BARABARANI ya KUWANASA MADEREVA WAZEMBE na WALEVI WANAOSABABISHA AJALI...
CC; BAKARI MAHUNDU
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) William Mkonda, Mkuu wa Usalama Barabarani Tanzania, ameongoza operesheni ya utoaji elimu kwa watumiaji wa barabara na ukaguzi wa vyombo vya moto katika kituo kikuu cha mabasi Nanenane, Dodoma.
Katika operesheni hiyo, Kamanda Mkonda amekemea vitendo vya madereva na watoa huduma wanaokiuka sheria kwa kuzidisha abiria au kuendesha bila tahadhari. Amewataka kufuata sheria kwa ufanisi ili kulinda maisha ya watumiaji wa barabara.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: