SABABU VIONGOZI ULAYA KUTOAMINI MAREKANI KUSITISHA VITA UKRAINE
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2025-12-05
Просмотров: 523
“Kwa taarifa ambayo waliitoa mmaseneta wa Marekani walisema ofisi ya Rubio ilijibu kuwa yalikuwa ni mapendekezo ya Urusi, kabla ya kukanusha” sehemu ya maneno ya Ibrahim Rahby mchambuzi wa siasa za kimataifa akizungumza katika #MorningExpress kuhusu viongozi wa Ulaya katika mkutano wa wiki hii wameonesha kutokuwa na imani na juhudi za Marekani kujadili kusitisha vita vya Urusi nchini Ukraine.
#Ufmupdates
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: