DR. FIMBO: HAKUNA DAWA YA KUONGEZA MAKALIO
Автор: Angelo Media
Загружено: 2025-07-24
Просмотров: 124
Katika mkutano na wana habari mkoani Tabora, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Tanzania (TMDA), Dkt. Adam Fimbo ameionya jamii hususani Wanawake, kupuuza matangazo yanayotolewa kupitia mitandao ya kijamii kuhusu uwepo wa dawa za kuongeza au kupunguza makalio.
Tahadhari hiyo imetolewa wakati tayari Hospitali ya Taifa Muhimbili kupitia tawi lake la Mloganzila, ikiwa imeanzisha huduma ya upasuaji wa kurekebisha baadhi ya sehemu za mwili (Plastic Surgery), ambazo ni pamoja na kupunguza au kuongeza ukubwa wa makalio, matiti, nk.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: