SOMO KUHUSU: Ufalme Wa Mungu Na Ndo Mwisho Wa Somo Hii: By Pastor Innocent! Sunday, January 18, 2026
Автор: Alex Bukuru
Загружено: 2026-01-19
Просмотров: 55
Ndo Mwisho ya Somo Kuhusu Ufalme Wa Mungu Na Ufalme Wa Mbinguni.
Nasema Asanteni Wapendwa Wetu Kwa Kutufuatilia Au Kutazama Pamoja nasi Mwanzo Hadi Mwisho.
Pia Tunasema Karibuni Tena Kwa Somo Ingine Mpya Ya Mwaka Huu Mpya.
Nasi Tunasubiri Somo Hilo Mpya, Ninaimani Itakuwa Ni somo Ya Kwanza Ya Kufunguwa Masomo, Mafundisho Tofauti Kwa Mwaka Huu Mpya Wa 2026!
Wapendwa Wetu Musikose Kutufuatilia Kwa hii Somo Au Kwa Mafundisho na Masomo mbalimbali Kupitia Hii Channel, Na Musisahau Kushare, Kulike, Kusubscribe Ili Uwe Wa kwanza Kuona Kila Mahubiri, Mafundisho, Na Masomo, Yatakapo updated Kwa Video Zakawaida Au Livestream Video.
Asanteni Sana.
This is the End of the Lesson About the Kingdom of God and the Kingdom of Heaven.
I Say Thank You Our Beloved Ones For Following Us Or Watching With Us From Beginning To End.
We Also Say Welcome Again To Another New Lesson Of This New Year.
We Are Waiting For That New Lesson, I Believe It Will Be The First Lesson Of Opening Lessons, Different Teachings For This New Year Of 2026!
Our Beloved Ones, Don't Miss Lesson Various Teachings, Lessons Through In This Channel.
Don't Forget To Share, Like, Subscribe So That You Can Be The First To See Every Sermon, Teaching, And Lessons, When It Updated With Regular Videos Or Livestream Videos.
Remember Beloved Y’all support God’s Words It’s important.
Thank You All Very Much.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: