Simba yatangaza punguzo la bei za jezi zake kutoka 45,000 mpaka 12,000
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-12-16
Просмотров: 320
PUNGUZO LA BEI JEZI ZA SIMBA: “Tumetoa punguzo la bei za jezi za Simba Sports Club”
Klabu Simba kupitia Meneja Habari na Mawasiliano Ahmed Ally, wametangaza punguzo la bei za jezi za msimu huu kutoka shilingi 45,000 mpaka shilingi 12,000 kwa manunuzi ya rejareja.
Ahmed amesema jezi za watoto na zenywe zimeshatoka na bei yake pia ni shilingi 12,000 badala ya shilingi 25,000 ambayo ilipangwa kuuzwa.
Ahmed ameongeza kuwa jezi hizo zitauzwa kwa njia ya mtandao.
#SimbaSC #Jezi
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: