Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

#TAZAMA

Автор: Daily News Digital

Загружено: 2022-03-08

Просмотров: 3616

Описание:

SERIKALI imetoa kibali Kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kukopa kiasi cha sh.bilion 173.9 kwa ajili ya kukwamua miradi iliyokwama katika kipindi cha miaka minne iliyopita.

Akizungumza na wandishi wa habari jana jijini Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dk. Allan Kijazi kwa amesema kwa kuanzia tayari Shirika limeidhinishiwa na hazina mkopo wa shilingi bilion 44.7 ili kuendelea kazi ya kuifufua miradi hiyo.

Dk.Kijazi ametaja miradi iliyokwama kuwa ni pamoja na mradi wa Kawe 711, Morocco Square na mradi wa Plot 300 regent Estate iliyopo Dar es salaam.

Kuhusu mradi wa nyumba 1,000 unaotekelezwa na NHC Dodoma Dk.Kijazo amesema serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ilitoa mkopo nafuu wa sh. bilion 20 Kwa shirika ili zitumike kama mtaji ambao utatekelezwa Kwa Miaka 15.

Amesema mkopo huo utalipwa kwa miaka 12 baada ujenzi wa mradi wa nyumba 1,000 kukamilika ambapo adhma ya serikali ni kuwezesha Shirika kujenga nyumba Dodoma ili kurahisisha upatikanaji wa makazi baada ya serikali kuhamishia shughuli zake.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mkuu wa NHC Dk. Maulid Banyani amesema shirika liliendesha operesheni maalumu Kwa wadaiwa sugu ambapo ilisaidia Shirika kukusanya sh. bilion 5 kati ya 27 inazodai kutoka Kwa wateja wake.

Amesema operesheni hiyo itakuwa endelevu na sasa wanakuja na mfumo maalumu ambao utakusanya kodi kwa njia ya kisasa na mfumo huo upo katika majaribio katika nyumba za chamwino.

Kuhusu mradi wa Kawe 711 Dk. Banyani alisema tayari mkandarasi yuko saiti anaendelea na kazi ndogo ndogo.

Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo:   / spotileo-176.  .
HabariLeo:   / habarileo  
DailyNews:   / dailynewstz  

INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...

TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

#TAZAMA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

DODOMA: MUONEKANO WA MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZILIZOJENGWA NA NHC ENEO LA IYUMBU

DODOMA: MUONEKANO WA MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI ZILIZOJENGWA NA NHC ENEO LA IYUMBU

NAMNA NHC INAVYOENDELEZA MAJENGO YAKE KATIKA MJI WA IRINGA

NAMNA NHC INAVYOENDELEZA MAJENGO YAKE KATIKA MJI WA IRINGA

MILIKI NYUMBA YAKO KUTOKA NHC BILA DALALI - UNAJAZA FOMU - UNAPATA MJENGO WAKO UNAOUTAKA...

MILIKI NYUMBA YAKO KUTOKA NHC BILA DALALI - UNAJAZA FOMU - UNAPATA MJENGO WAKO UNAOUTAKA...

WAZIRI MKUU AKAGUA UTENDAJI KIVUKO CHA KIGAMBONI

WAZIRI MKUU AKAGUA UTENDAJI KIVUKO CHA KIGAMBONI

Военное руководство страны разбилось / Начальник Генштаба погиб

Военное руководство страны разбилось / Начальник Генштаба погиб

MISA TAKATIFU YA NOELI KITAIFA - JIMBO KATOLIKI KIGOMA

MISA TAKATIFU YA NOELI KITAIFA - JIMBO KATOLIKI KIGOMA

MVUA KUBWA YANYESHA DODOMA,  WAFANYABIASHARA  MACHINGA  WAOMBWA KUWA WATULIVU

MVUA KUBWA YANYESHA DODOMA, WAFANYABIASHARA MACHINGA WAOMBWA KUWA WATULIVU

❗️❗️ Зеленский назвал 20 пунктов мирного плана | Оперативные новости. День

❗️❗️ Зеленский назвал 20 пунктов мирного плана | Оперативные новости. День

LIVE | UAPISHO WA RAIS MAGUFULI DODOMA - 05/11/2020

LIVE | UAPISHO WA RAIS MAGUFULI DODOMA - 05/11/2020

Maajabu ya SOKO KUU la JOB NDUGAI DODOMA Kanisa na Msikiti ndani yake

Maajabu ya SOKO KUU la JOB NDUGAI DODOMA Kanisa na Msikiti ndani yake

Министр Нанаука дает наставления молодежи.

Министр Нанаука дает наставления молодежи.

This is GEITA TANZANIA, The richest Gold Mining town in East Africa

This is GEITA TANZANIA, The richest Gold Mining town in East Africa

SERIKALI YAINGIA MKATABA WA BILION 22 DODOMA “RAIS SAMIA ANAUPIGA MWINGI SANA”

SERIKALI YAINGIA MKATABA WA BILION 22 DODOMA “RAIS SAMIA ANAUPIGA MWINGI SANA”

KAULI YA MAKONDA KWA WACHEZAJI TAIFA STARS

KAULI YA MAKONDA KWA WACHEZAJI TAIFA STARS

LIVE: Vilio Vimetawala Dodoma/Mwili wa Hayati JPM Umeshafika Uwanja wa Jamhuri

LIVE: Vilio Vimetawala Dodoma/Mwili wa Hayati JPM Umeshafika Uwanja wa Jamhuri

UWANJA WA MPIRA DODOMA, SERIKALI YAFUNGUKA MPANGO HUO ULIPOFIKIA

UWANJA WA MPIRA DODOMA, SERIKALI YAFUNGUKA MPANGO HUO ULIPOFIKIA

SHUHUDIA MREMBO MDOGO ANAYEMILIKI MJENGO MKALI GOBA | ATAJA SIRI YA MAFANIKIO YAKE

SHUHUDIA MREMBO MDOGO ANAYEMILIKI MJENGO MKALI GOBA | ATAJA SIRI YA MAFANIKIO YAKE "Sili bata..."

RC DODOMA ATEMBELEA MRADI WA NYUMBA 3500 NZUGUNI

RC DODOMA ATEMBELEA MRADI WA NYUMBA 3500 NZUGUNI

NHC YAZIDI KUFANYA MAKUBWA, BENKI 20 ZATANGAZA MSIMAMO  KWENYE MRADI WA NYUMBA 1000 DODOMA

NHC YAZIDI KUFANYA MAKUBWA, BENKI 20 ZATANGAZA MSIMAMO KWENYE MRADI WA NYUMBA 1000 DODOMA

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 24.12.2025 | TV Republika

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 24.12.2025 | TV Republika

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]