CCM SIHAMI ILA TUSIOGOPE REFORM'S (MABADIRIKO) BISHOP JOSEPHAT GWAJIMA (MB) KAWE DAR ES SALAAM
Автор: MWANDANDILA MEDIA WORLD WIDE
Загружено: 2025-07-16
Просмотров: 57
MWANDANDILA MEDIA WORLDWIDE News Jioni hii__16 July 2025 Jumatano__
MBUNGE WA JIMBO LA KAWE_DAR ES SALAAM Bishop Josephat Gwajima, amesema ataendelea kubaki kuwa Mwanachama wa Chama Cha MAPINDUZI (CCM), licha ya kukosolewa kila anapotoa maoni yenye mtazamo tofauti ndani ya chama, hicho huku akikishauri Kwa Hisia Chama Hicho kukubali, REFORM'S (MABADIRIKO) na kubainisha kuwa haoni sababu ya CCM kuwa na woga wakati Ina Wanachama zaidi ya Milioni 10 Nchi nzima.
Nuku" Mimi ni mwanachama wa chama cha MAPINDUZI na nitaendelea kuwepo.
Mimi sitahama CCM nipo sana, tunabanana humu humu ndani mpaka paeleweke pakae Vizuri.
CCM ni Chama Cha Kidemokrasia kama ilivyo madhubuni ya Katiba yake."
" Kushinda Uchaguzi ni jambo jepesi, lakini kutawala nchi ambayo imemegukameguka kutokana na makovu na majeraha ya Uchaguzi ni kazi sana. Askofu Josephat Gwajima
Imeandaliwa na Kuhaririwa Mwandishi wa Habari na C E O MWANDANDILA MEDIA WORLDWIDE #Hwae-n Mwandandila
Tuandikie Maoni yako hapa Nasi Tutayapeperusha Moja Kwa Moja Kwa Watazamaji wetu mbalimbali kote-Ulimwenguni.
WhatsApp (+255) 0 782 9999 59
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: