Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
dTub
Скачать

MGOGORO MKUBWA WAIBUKA KKKT FOREST MBEYA | VIONGOZI WANNE WA KWAYA KUU WASIMAMISHWA, GARI LIKITAJWA

Автор: Manara TV

Загружено: 2025-08-30

Просмотров: 13638

Описание:

Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde, Usharika wa Forest jijini Mbeya wamesema hawakubaliani na uamuzi wa kanisa hilo kufuta Kwaya Kuu na uongozi, wakiahidi kesho kuingia kanisani kufunga muziki ili wafukuzwe.

Mgogoro huo umeibuka baada ya kanisa kupinga uamuzi wa kusimamishwa kwa baadhi ya viongozi na Kwaya Kuu huku ikielezwa kuwa Novemba 2024, Dayosisi ya Konde ilituma waraka uliotaka idadi ya kwaya zipungue kutoka kwaya tano hadi kwaya tatu.

Hata hivyo, ingawa kwaya zilizopendekezwa kufutwa zilikuwa Safina na Hosiana, viongozi wa usharika huo wameamua kuifuta Kwaya Kuu badala yake na wanakwaya kutakiwa kujisajili upya.

Awali, usharika huo ulikuwa na kwaya tano ambazo ni Kwaya Kuu Forest, Kwaya ya Uinjilisti, Kwaya ya Hosiana, Kwaya ya Safina, Kwaya ya Vijana na Kwaya ya Uwaki.

Baadhi ya waumini wakizungumza nje ya Kanisa hilo hii leo Agosti 30, 2025 wamesema hawakubaliani na hatua hiyo, wakisisitiza kuwa Kwaya Kuu ina historia ya zaidi ya miaka 45.
Katibu wa Kwaya Kuu, Julius Mwaikusi, amesema barua ya Dayosisi ilielekeza kupunguza kwaya, lakini utekelezaji wake umeleta sintofahamu, "Lakini imeenda mbali wakadai tusimamishwe kazi ikiwa ni Mwaikusi, Yonah Mwaisango, Michael Mwangonji na Petro Kyando na hakuna sababu ya kusimamishwa kwao." Alisema Mwaikusi

Naye mwalimu wa Kwaya Kuu, Yonah Mwaisango, amebainisha kuwa chanzo cha mgogoro huenda ni baada ya Kwaya Kuu kununua gari jipya. Amesema licha ya wao kufuatilia suala hilo kwa viongozi wa kanisa, bado hawajapatiwa majibu.

Kwa upande wake Rehema Ibanje ambaye ni Makamu Katibu wa Kwaya Kuu amesema hatua ya viongozi wa kanisa hilo kutaka mali za Kwaya Kuu zikabidhiwe kwa Halmashauri kuu ya Kanisa haiingii akilini kwa kuwa mali hizo ni michango ya wanakwaya wenyewe, "Zaidi wanatuambia mali za Kwaya Kuu zikabidhiwe kwa Halmshauri hali ambayo ni tofauti kwa kuwa hakuna mchango wowote wa mtu zaidi ya sisi, tulichogundua ni kwamba wanataka kuwapa wengine na hatukubali," alisema Bi Rehema.

Hata hivyo Manara Tv imefanikiwa kuzungumza na Mkuu wa Jimbo la Mbeya Magharibi Mchungaji Lusajano Sanga kwa njia ya Simu ambapo amesema hajafahamu kinachoendelea, "Sijajua kinachoendelea, sijaambiwa chochote na mchungaji ili aniambie kama kuna tatizo nijue tutafanyaje."

✍🏼 @ndambo_17

MGOGORO MKUBWA WAIBUKA KKKT FOREST MBEYA | VIONGOZI WANNE WA KWAYA KUU WASIMAMISHWA, GARI LIKITAJWA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео mp4

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио mp3

Похожие видео

KANISA KKKT MBEYA BADO MOTO  WAUMINI WAGAWANYIKA, MZEE AIBUKA GHAFLA NA KUPINGA TAMKO LA KUJITENGA

KANISA KKKT MBEYA BADO MOTO WAUMINI WAGAWANYIKA, MZEE AIBUKA GHAFLA NA KUPINGA TAMKO LA KUJITENGA

HISTORIA YA KANISA LA KKKT FOREST MBEYA || KUANZISHWA, KUJENGWA NA KUZINDULIWA (DOCUMENTARY)

HISTORIA YA KANISA LA KKKT FOREST MBEYA || KUANZISHWA, KUJENGWA NA KUZINDULIWA (DOCUMENTARY)

WAZEE WA DAR ES SALAAM WAZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA MBELE YA RAIS SAMIA KUHUSU VURUGU ZA OKT 29

WAZEE WA DAR ES SALAAM WAZUNGUMZA KWA MARA YA KWANZA MBELE YA RAIS SAMIA KUHUSU VURUGU ZA OKT 29

Narudi Kwako - Uinjilisti Forest Mbeya

Narudi Kwako - Uinjilisti Forest Mbeya

MTANZANIA MWINGINE ASIMULIA MATESO ALIYOKUTANA NAYO OMAN AKIFANYA KAZI za NDANI-ZALIAM AMRUDISHA DAR

MTANZANIA MWINGINE ASIMULIA MATESO ALIYOKUTANA NAYO OMAN AKIFANYA KAZI za NDANI-ZALIAM AMRUDISHA DAR

MAMBO MATATU  JENGO LA IBADA NYUMBA YA MTUMISHI GARI LA USHARIKA VYAZINDULIWA KKKT USHARIKA WA ILEMI

MAMBO MATATU JENGO LA IBADA NYUMBA YA MTUMISHI GARI LA USHARIKA VYAZINDULIWA KKKT USHARIKA WA ILEMI

UINJILIST KKKT FOREST  MBEYA WAKIIMBA KWENYE HARAMBEE  DAYOSISI YA KUSINI MAGHARIBI MATAMBA

UINJILIST KKKT FOREST MBEYA WAKIIMBA KWENYE HARAMBEE DAYOSISI YA KUSINI MAGHARIBI MATAMBA

MCH DR EDWARD MWAIKALI ATANGAZA RASMI KUJIONDOA  KANISA LA KKKT KANISANI USHARIKA WA RUANDA MBEYA

MCH DR EDWARD MWAIKALI ATANGAZA RASMI KUJIONDOA KANISA LA KKKT KANISANI USHARIKA WA RUANDA MBEYA

HABARI KUBWA JIONI HII KUTOKA TANZANIA...

HABARI KUBWA JIONI HII KUTOKA TANZANIA...

ALLY KAMWE ATANGAZA DIARRA DAY, YANGA Vs FOUNTAIN, JASUSI WETU KATUPA TAARIFA MPYA MPANZU AJE YANGA?

ALLY KAMWE ATANGAZA DIARRA DAY, YANGA Vs FOUNTAIN, JASUSI WETU KATUPA TAARIFA MPYA MPANZU AJE YANGA?

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Septemba 07, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Septemba 07, 2025 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

УЭББ ЗАФИКСИРОВАЛ, ЧТО 3I/ATLAS ПОВОРАЧИВАЕТ НАПРАВЛЕНИЕ К ЮПИТЕРУ

УЭББ ЗАФИКСИРОВАЛ, ЧТО 3I/ATLAS ПОВОРАЧИВАЕТ НАПРАВЛЕНИЕ К ЮПИТЕРУ

KIBAO

KIBAO

🔴#TSC: HISTORIA YA TEMBE LA LIVING STONE | KUTUMIKA KWENYE BIASHARA YA UTUMWA

🔴#TSC: HISTORIA YA TEMBE LA LIVING STONE | KUTUMIKA KWENYE BIASHARA YA UTUMWA

Makala ya Uzinduzi wa Jiwe la Msingi Soko la Matola na Ukaguzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Mbeya

Makala ya Uzinduzi wa Jiwe la Msingi Soko la Matola na Ukaguzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Mbeya

JOHN HECHE KWA HASIRA AMCHACHAFYA VIKALI MWIGULU KUSEMA WALIOANDAMANA WALIPOKEA PESA KUTOKA NJE

JOHN HECHE KWA HASIRA AMCHACHAFYA VIKALI MWIGULU KUSEMA WALIOANDAMANA WALIPOKEA PESA KUTOKA NJE

Bibi Mzungu wa Miaka 55 Kutoka Ulaya Kaacha familia Na Kufuata Penzi La Kijana mdogo Kenya

Bibi Mzungu wa Miaka 55 Kutoka Ulaya Kaacha familia Na Kufuata Penzi La Kijana mdogo Kenya

TAHARUKI YAIBUKA MBEYA BAADA YA MTOTO KUIBWA KWENYE MAZINGIRA YA KUTATANISHA, WASIMULIA ILIVYOKUWA

TAHARUKI YAIBUKA MBEYA BAADA YA MTOTO KUIBWA KWENYE MAZINGIRA YA KUTATANISHA, WASIMULIA ILIVYOKUWA

SERIKALI YATOA ONYO KALI: ‘Wanaotaka Kuandamana Desemba 9…

SERIKALI YATOA ONYO KALI: ‘Wanaotaka Kuandamana Desemba 9… "TUMEJIPANGA"

MFAHAMU USWEGE MWAKANYAMALE MUUMINI KKKT RUANDA ALIYEPINGA HADHARANI KUHAMIA K.K.A.M

MFAHAMU USWEGE MWAKANYAMALE MUUMINI KKKT RUANDA ALIYEPINGA HADHARANI KUHAMIA K.K.A.M

© 2025 dtub. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]