Mbunge wa Ngorongoro Acharuka, "Kama Hamtaki Watu Ngorongoro Semeni Kuliko Kuwatesa"
Автор: The Chanzo
Загружено: 2024-04-08
Просмотров: 23107
Mbunge wa jimbo la Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangay amehoji kuwa kama zoezi la kuhamisha wananchi wa tarafa ya Ngorongoro ni la hiyari, kwa nini Serikali imekuwa ikiweka vikwazo kwa wakazi hao tangu mwaka 2022 kama vile kuwasitishia wananchi hao takribani 100,000 baadhi ya huduma za kijamii.
Ole Shangay amehoji hayo wakati akichangia hoja Bungeni wakati wa mjadala wa bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/25, ambapo ametishia kushikiliza shilingi endapo hatapatiwa majibu kuhusu suala hilo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: