KUTANA NA KIJANA WA DARASA LA SABA ALIYEUNDA HELIKOPTA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2018-11-05
Просмотров: 389867
Kijana aliyemalizaelimu ya msingi (Darasa la saba) na kushindwa kuendelea na elimu ya sekondari atengeneza ndege Kibiti, Mkoani Pwani.
MCL Digital imefanya mahojiano na kijana huyo baada ya kuiona ndege aliyoiunda kando kando ya barabara ya kuelekea kibiti, Pwani
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: