KIDANI - Mwanamke wa kwanza kupata leseni ya kimataifa Tanzania katika utengezaji wa ndege
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-01-19
Просмотров: 92
Mkurugenzi Mtendaji - Acrolink solutions Tanzania limited Mhandisi Edith Halord Kisamo, ni mwanamke ambaye amepata mafanikio katika ufundi wa ndege kutoka kuwa fundi wa kawaida mbaka sasa ni Engernier wa ndege kimataifa, ameeleza kuwa alikuwa na ndoto yakufika alipofika sasa kwa juhudi na nia zimemfanya mbaka sasa katimiza ndoto yake.
Pia ameeleza kuwa hivi sasa amefungua kampuni ambauo ipo kwa ajiri ya kuwasaidia vijana na watu mbalimbali kupata muongozo katika kile kitu mtu anahitaji kukufanya akifanye akijua njia anayopita ni njiua sahihi kutokana na muongozo atakao patiwa na kampuni aliyo ifungua.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: