LEO MH RAIS SAMIA AMEWEKA HISTORIA AMESEMA HAKUNA TENA KUZUIA MAITI HOSPITAIL MGONJWA AKIFA
Автор: B24onlinetv
Загружено: 2025-08-28
Просмотров: 102
WAGOMBEA CCM WARIDHISHISHWA NA HOTUBA YA MGOMBEA URAIS DKT. SAMIA
Makada na Wagombea wa nafasi mbalimbali waliojitokeza kwenye uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi Tanganyika Packers Kawe, jijini Dar es salaam, wameeleza kuridhishwa na hotuba iliyotolewa na Mgombea Urais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa anainadi ilani ya CCM yenye kurasa 303 na kuahidi watampigia kura za kutosha siku ya kupiga kura Ya 29.10.2025
Wagombea hao ni Selemani ayoub kaniki Mgombea udiwani kata ya Zingiziwa na Mteule wa Ugombea kiti cha udiwani kata ya Vijibweni#b24updates #raissamia #bungelive #rais #simba #automobile #raisrecipe #funny
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: