Juhudi za amani Pembe ya Afrika
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2018-11-23
Просмотров: 16250
Katika makala ya Kinaga ubaga , Mohammed Abdul-Rahman anazungumza na mchambuzi wa masuala ya pembe ya Afrika Mohamed Abdullahi, kuhusu juhudi za kuleta upatanishi miongoni mwa mataifa ya ukanda huo na kuondoa tafauti zilizokuwepo kati ya Ethiopia na Eritrea na Eritrea na Djibouti. Juhudi hizo zinazoendelea zilianza baada ya Waziri mkuu wa Ethiopia Dr Abiy Ahmed kushika hatamu za uongozi mwezi Aprili.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: