BAADA YA UKIMYA WA VIPINDI,MPANDA REDIO FM TUNARUDI KUTIKISA
Автор: Mpanda Radio Media
Загружено: 2025-01-05
Просмотров: 77
Meneja vipindi Mpanda Redio FM Denis Mkakala akizungumza na Mpanda Redio Media amesema walikuwa na maandalizi ya kuingia mwaka mpya wa 2025 wakiwa na vipindi ambavyo msikilizaji atakuwa na uhitaji navyo kwa maana ya maudhui yaliyo bora zaidi ,ambapo tarehe 6 mwezi january 2025 siku ya jumatatu, rasmi wanaanza mwaka mpya wa vipindi na ametaja safu nzima ya vipindi na watangazaji wa vipindi hivyo.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: