🧹 Wanakwaya wa Mt. Yudathadei Wafanya Usafi Kituo cha Afya Njombe Mjini.
Автор: Kwaya ya Mt.Yudathadei Njombe
Загружено: 2025-10-08
Просмотров: 195
🧹 Wanakwaya wa Mt. Yudathadei Wafanya Usafi Kituo cha Afya Njombe Mjini
Leo wanakwaya wa Mt. Yudathadei wakiwa wameungana na waumini wengine wa Parokia ya Njombe, wamefanya shughuli ya usafi katika Kituo cha Afya Njombe Mjini.
Tukio hili limeonyesha moyo wa umoja, upendo na kujali afya ya jamii.
Kwaya imesisitiza kuwa usafi ni sehemu ya utume wa Kikristo na njia ya kutunza mazingira kama tunavyofundishwa na Kanisa.
👏 Tunawapongeza wote walioshiriki kwa kujitolea muda na nguvu kwa ajili ya manufaa ya jamii.
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: