MSICHANA MWENYE SIKIO MOJA LA AJABU Huwezi amini anayoyafanya😳
Автор: CHASIMBA
Загружено: 2025-11-29
Просмотров: 49166
Hadithi hii inamsimulia msichana aliyezaliwa na sikio moja tu, lakini lenye uwezo wa ajabu wa kusikia vitu vya mbali zaidi ya binadamu wa kawaida. Watu walimcheka, wakamdharau, bila kujua nguvu kubwa aliyobeba ndani yake. Safari yake imejaa msisimko, huzuni, siri nzito, na vita ya kuokoa maisha yake.
Tazama hadi mwisho ujue kilichotokea baada ya dunia kugundua uwezo huu wa kipekee!
msichana mwenye sikio moja, hadithi za kusisimua, hadithi za maajabu, uwezo wa kusikia mbali, hadithi za kuelimisha, hadithi za kusikitisha, hadithi nzuri za kusisimua.
Hadithi hii ni hadithi ya kufikirika niliyoiandika mimi mwenyewe ili kuleta funzo na elimu kwa jamii
msimuliaji wako ni mimi chasimba karibu sana.
Hapa tunasimulia hadithi zenye mafunzo, mapenzi yenye majonzi na furaha, mahusiano yanayovunjika na kujengwa tena, na visa vya ajabu vya majini, mapepo, na ulimwengu wa giza usioelezeka. Kila simulizi lina mguso wa kipekee, wa kusisimua na wenye mafundisho ya maisha.
👂Usikose kila hadithi — bonyeza subscribe, like na comment ili kusapoti chaneli yetu!
https://www.instagram.com/chasimba_u2...
/ 1dbvltshah
#HadithiZaMapenzi
#SimuliziZaKweli
#DramaZaMapenzi
#VisaVyaAjabu
#Mahusiano
#HadithiZaMajini
#Chasimba
#MaishaYaWatu
#StoryTeller
#KiswahiliStories #HadithiZaKiswahili #DramaZaMaisha
#HadithiZaKweli
#KisaChaMaumivu #SimuliziZaUsaliti
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: