NIMEFUNGUA KAMPUNI YA MAFUTA CANADA| UBAGUZI WA RANGI UMEKUA UKINIRUDISHA NYUMA KIFEDHA
Автор: Official Dating Assistance
Загружено: 2024-05-11
Просмотров: 26903
Ameir Ameir ameeleza Safari ya maisha yake kutoka Zanzibar mpaka UK na hatimaye Canada
Aliamua kujikita kwenye biashara ambapo aliweza kufungua kampuni ya kuchimba mafuta lakini alikutana na changamoto nyingi za kibaguzi ambazo zilimkwamisha lakini alijaribu bila kuchoka kuhakikisha anafanikisha ndoto yake
Sio rahisi lakini bado anapambana
Thank you Ameir for allowing this to be online
www.oda.international
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: