Jinsi ya Kupiga 'Yesu Nakupenda' - Rose Muhando kwa Piano | Mafunzo Rahisi
Автор: REM EASY PIANO
Загружено: 2025-09-17
Просмотров: 607
Karibu!
Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kupiga wimbo maarufu wa injili "Yesu Nakupenda" ulioimbwa na Rose Muhando, kwa kutumia piano/keyboard.
Ni mafunzo rahisi kwa wanaoanza (beginners), na pia yanawafaa wale wanaotaka kuimarisha ujuzi wao wa kupiga nyimbo za injili kwa piano.
🎹 Utafundishwa:
Chords kuu zinazotumika
Mdundo na tempo ya wimbo
Mbinu rahisi za kuufanya upige kwa hisia
Usisahau kusubscribe, kudondosha like, na ku-share video hii na marafiki zako wanaopenda piano na nyimbo za kiroho!
#YesuNakupenda #RoseMuhando #PianoTutorial #GospelPiano
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео mp4
-
Информация по загрузке: